[
  {
    "surah": 110,
    "ayah": 0,
    "arabic": "بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ",
    "english": "In the name of Allah, the Most Gracious, the Most Merciful.",
    "kiswahili": "Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu."
  },
  {
    "surah": 110,
    "ayah": 2,
    "arabic": "إِذَا جَاءَ نَصْرُ اللَّهِ وَالْفَتْحُ",
    "english": "When the victory of Allah has come and the conquest,",
    "kiswahili": "Inapokuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,"
  },
  {
    "surah": 110,
    "ayah": 3,
    "arabic": "وَرَأَيْتَ النَّاسَ يَدْخُلُونَ فِي دِينِ اللَّهِ أَفْوَاجًا",
    "english": "And you see the people entering into the religion of Allah in multitudes,",
    "kiswahili": "Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi,"
  },
  {
    "surah": 110,
    "ayah": 4,
    "arabic": "فَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ وَاسْتَغْفِرْهُ ۚ إِنَّهُ كَانَ تَوَّابًا",
    "english": "Then exalt [Him] with praise of your Lord and ask forgiveness of Him. Indeed, He is ever Accepting of repentance.",
    "kiswahili": "Basi mtakase Mola wako Mlezi kwa sifa zake, na umuombe msamaha. Hakika Yeye ni Mwenye kupokea toba."
  }
]
