Instructions
THE THIRD OF MUHARRAM On this day, Prophet Joseph (a.s.) was freed from his prison.
TATU YA MUHARRAM Siku hii, Nabii Yusuf (a.s.) aliachiliwa kutoka katika jela yake.
Instructions
Hence, if one observes fasting on this day, Almighty Allah will make easy any difficulty he may face and will relieve any trouble that may face him. According to a Hadith reported from the Holy Prophet (s.a.w.a.), Almighty Allah will respond
Kwa hivyo, ikiwa mtu atafunga siku hii, Mwenyezi Mungu Mtukufu atamrahisishia shida yoyote atakayokumbana nayo na atamuondolea matatizo yoyote yanayoweza kumkabili. Kwa mujibu wa Hadith iliyopokelewa kutoka kwa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.), Mwenyezi Mungu atajibu